#AdelPhilOnlineAcademy: Njia 11 za kusaidia kuboresha kumbukumbu yako
Moja ya masuala yanayomtatiza sana kocha wako ni dhamira yake kukuletea mada mbalimbali za kukufanya uwe mto bora/kukuongezea ubora wako lakini anashindwa kutimiza dhamira hiyo kutokana na kutingwa na majukumu mengine.
Hata hivyo, kila atakapopata wasaa, atakurushia mada moja au nyingine. Nawe unaweza kumsapoti kwa kushea na ndugu, jamaa na marafiki. Sot…