Jinsi Ya Kuacha Sigara
Well, hii sio kozi as such bali kwa vile ni aina flani ya mwongozo kwa wavuta sigara wanaotamani kuachana na janga hilo, nimeona hapa - AdelPhil Online Academy - ni mahala mwafaka.
“Kozi” yenyewe ni kijitabu cha kurasa kadhaa. Kama ambavyo nafundisha kozi mbalimbali hapa AdelPhil Online Academy ambapo hutumia mifano halisi nayonihusu, kijitabu hiki cha m…