#JinsiYaKuwaMtuBora: aina 5 za uongo unaojiambia kila siku na jinsi unavyoweza kuondokana nao
Kocha wako amehangaika kutafuta wingi wa neno “uongo” (as in “a lie” kwa Kiingereza ambapo wingi ni “lies”) lakini ameambulia patupu. Ameishia kutumia neno aina 5 za uongo ilhali alichotaka kumaanisha ni “5 lies”.
“Kuna kitu hakipo sawa kuhusu mie”