#JinsiYaKuwaMtuBora: bidhaa ikipatikana kwa wingi hushuka thamani, nawe ukipatikana sana unashuka thamani. Jifunze kuadimika
Ndio, unajali sana watu, na ndio maana unapatikana hadi usiku wa manane. Na wakati mwingine, kupatikana kwako kirahisi huingilia mipango yako kwa sababu mtu anaweza kukurupuka kutoka huko aliko na “kukuibukia” ghafla, lakini kwa vile “wewe ni mtu wa watu”basi inabidi ujibane hivyohivyo umsikilize.
Bila shaka wafahamu kuwa bidhaa ikipatikana kwa wingi au…