#JinsiYaKuwaMtuBora: Faida na hasara za 'deni la fadhila'.
Kocha (life coach) wako ni mtu anayeheshimu mno fadhila. Na hali hiyo imechangiwa zaidi na yeye kutambua faida ya fadhila.
Moja ya vitu vilivyochangia yeye kuthamini fadhila ni kukulia kwenye umasikini mkubwa. Yayumkinika kuamini kuwa laiti kusingekuwa na wasamaria mwema waliomsaidia yeye na/au familia yake, asingeweza kufika alipo sasa.
Lakini pia amekuw…