#JinsiYaKuwaMtuBora: Heri ya Mwaka Mpya. Huu ni wakati mwafaka kupiga teke tabia mbaya (ulevi,uzinzi,uvivu,nk) . Vitu 10 vinavyoweza kukusaidia kujenga tabia nzuri
Jan 8
Heri ya mwaka mpya kutoka kwangu kocha wenu ambaye pia ni mtumishi wenu, na kutoka kwa chuo chenu pendwa cha AdelPhil Online Academy.
Imezoeleka kuwa kila mwanzo wa mwaka, watu huja na “malengo ya mwaka mpya” kwa kimombo “new year’s resolutions”. Japo kila siku mpya, wiki mpya au mwezi mpya ni fursa pia ya kuanza malengo mapya, kocha wenu anadhani a…