#JinsiYaKuwaMtuBora: mara nyingi tunakabiliwa na uhaba wa muda. Mbinu 4 za kufanya muda wako ujitosheleze
Moja ya changamoto zinazowakabili watu wenye majukumu ni uhaba wa muda. Kwamba masaa 24 katika siku hayatoshi kwao kutekeleza majukumu yao.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba binadamu wote wana masaa 24, na wengi tu wanamudu kubalansi muda wao ipasavyo.
Kwahiyo makala hii inawahusu zaidi wenzetu ambao ni nadra kwao kuwa na muda kutosha kutekeleza majukumu …