#JinsiYaKuwaMtuBora: Mbinu 4 rahisi za kukuwezesha kujiamini
Kocha wako anaweza kukuthibitishia pasi shaka kuwa kutojiamini ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili watu wengi hasa katika mazingira ambayo kuna watu zaidi ya wale ambao mhusika amewazowea.
Hata hivyo kuna mbinu kadhaa za kuweza kukusaidia kuwa mtu wa kujiamini. Katika makala hii, kocha wako anakutajia mbinu 4.
Tambua thamani yako: moja ya sababu za ku…