#JinsiYaKuwaMtuBora: Sitiari ya vuta nikuvute kati mtu na zimwi
Kuna kitu kinaitwa “Acceptance and Commitment Therapy” kwa kifupi ACT ambacho ni aina ya matibabu (therapy) yanayojikita zaidi katika kukubali changamoto husika. Katika matibabu haya, mtu hufunzwa kuacha kukwepa, kukataa au kupambana na changamoto husika na badala yake kuzikubali na hatimaye kuwekeza katika tabia zao bila kujali nini kinatokea katika ma…