#JinsiYaKuwaMtuBora: Skills Saba za Kukusaidia Unachohitaji Katika Maisha Yako
Nimeonelea niwaletee mada mbalimbali zilizomo kwenye vitabu vyangu viwili vya “Jinsi ya Kuwa Mtu Bora” toleo la kwanza na la pili. Tuanze na toleo la kwanza
kisha tutahamia toleo la pili
Leo tunaanza na mada hii “Je hujui unataka nini katika maisha yako? Fanya kuboresha skills saba.”