#JinsiYaKuwaMtuBora: umuhimu wa sauti zinazoongea vichwani mwetu
Pengine hata muda huu unaposoma makala hii, kuna sauti inaongea kichwani mwamko. Pengine inakupongeza kwa kuamua kusoma makala hii, au kukupongeza kwa uamuzi wako ku-subscribe kutumiwa kijarida hiki.
Lakini pia huenda sauti hiyo sio tu inakulaumu kwa kudai “unapoteza muda wako” lakini pengine inaenda mbali zaidi na kukutisha kuwa “huyo Evarist Chahali n…