Kelele za Maadui Zetu vs Ukimya wa Marafiki Zetu
Hapo zamani kidogo, kocha wako alikuwa mwanaharakati mahiri huko mtandaoni hususan Twita.
Na katika harakati hizo alijenga ukaribu na dada mmoja mwanaharakati maarufu.
Kocha wako ni mtu loyal sana. Labda kwa sababu ya taaluma yake ya awali iliyosisitiza loyalty kwa taifa.
Wanasema “ukiwa mtiifu kwa taifa, huwezi kushindwa kuwa mtiifu wa ndugu, jamaa au mar…