Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: "Attention Economy" - Tunaishi Zama Ambazo "Attention" Ina Thamani Kama Pesa. Njia Mbili Muhimu Za Ku-"Control Attention."
Kuna kitu kinaitwa “attention economy” ambacho kina umuhimu mkubwa katika zama hizi za mapinduzi ya teknolojia.
Kwa kifupi, kitu hiki kinamaanisha kuwa “attention” - ile hali ya kutumia muda wako kwa mtu au kitu flani - ni kama bidhaa ghali.
Kuelewa maana yake, angalia watu wanaoitwa “social media influencers.” Kutegemea umaarufu na idadi ya followers, ba…