Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Kanuni 10 za "Maisha Yasiyo na Msongo" (Stress-Free Life)
1. Fuata njia sahihi, sio njia rahisi
2. Pigania haki kwa watu wote
3. Chagua marafiki zako kwa umakini. Jinsi utakavyokuwa (mtu wa aina gani) hutegemea marafiki ulionao.
4. Deni la fedha ni aina ya utumwa. Ishi huru na epuka deni.
5. Heshimu mipaka. Ipo kwa ajili ya kumlinda kila mmoja.
6. Noa na endeleza karama na vipaji kutoka kwa Mola wako.
7. Hakuna mlo …