Mfululizo wa makala zinazofundisha jinsi ya kutumia "48 Laws of Power"katika maisha yako ya kila siku: Sehemu ya Kwanza - Orodha ya Laws zote na tafsiri yake kwa Kiswahili
Hizi ni baadhi ya tafsiri ya neno la Kiingereza power kwa mujibu wa kamusi ya TUKI
uwezo. more ~ to your elbow safi, endelea! ~ boat n (see motor boat). ~ dive n ndege ipigayo mbizi hewani. ~ driven adj -enye nguvu ya injini; -a mitambo/ uwezo. ~ house/station n kituo cha umeme. ~ point n soketi.
nguvu. mechanical ~ n uwezo makanika; randa.
mamlaka, kazi…