Mminiwie radhi kocha wenu... kwa ajili yenu
Nadhani kwa ambao mmekuwa subscribers wa kijarida hiki kitambo, mnafahamu kwanini natumia neno “kocha wenu”.
Kwa faida ya wageni, neno hilo linatokana na u-kocha wa maisha, kwa kimombo “life coaching.”
Ninapoandika kijarida hiki, mie sio Jasusi, bali “life coach” na pia Mtumishi wenu wa hiari.
Ni kwa muktadha huo, nitaomba mnisamehe kwa sababu dhamira y…