Paradox of Plenty: Njaa Kali Licha ya Vyakula Lukuki
Kocha wako ni mzaliwa wa Ifakara a.k.a Ifoza, mji mdogo lakini uliojaaliwa utajiri mkubwa wa ardhi yenye rutuba.
Ifakara ni miongoni mwa sehemu zinazoongoza Tanzania kwa uzalishaji wa mpunga. Na kama sio mjuzi wa kilimo, from mpunga ndio unapata mchele.
Na Ifakara sio tajiri wa ardhi inayokubali takriban kila zao, bali pia ina utajiri wa minazi, miembe,…