Safu mpya ya #WazoLaLeo: "ukivumilia dharau, unaruhusu kudharauliwa."
Safu mpya ya “Wazo La Leo” itahusu zaidi jitihada endelevu za AdelPhil Online Academy kukufanya uwe mtu bora au kuboresha ubora wako. Maandiko mengi yatatokana na mabandiko ya kocha wako huko Instagram.
Japo ingependeza kuwa na “Wazo La Leo” kila siku, realistically haitawezekana. Badala yake, safu hii itakuwepo mara kwa mara angalau mara kadhaa ndani y…