TAHAJUDI (Meditation) -Somo la Tatu: kiasi, mbinu na kujenga mazowea ya kufanya tahajudi
Kabla ya kuingia katika somo la tatu, ni muhimu usome somo la kwanza
Na somo la pili
Je! Nifanye Tahajudi kwa Kiasi Gani?
Tahajudi sio ngumu zaidi kuliko yale ambavyo imeelezwa awali. Pia ni nguvu na thamani yake. Jambo kuu ni kujitolea kuketi kila siku, hata ikiwa ni kwa dakika tano.
Mwalimu mmoja wa tahajudi anasema: “Mmoja wa walimu wangu wa tahajudi al…