- AdelPhil Online Academy
- Posts
- Tumehama
Tumehama
Kijarida cha AdelPhil Online Academy kimehamia jukwaa la Beehiivkutoka Substack
Kijarida hiki cha AdelPhil Online Academy sasa kimepata makazi mapya kwenye jukwaa la uchapishaji vijarida la Beehiiv baada ya kuondoka kwenye jukwaa la Substack.
Hata hivyo, katika mchakato wa kuhama jukwaa, haikuwezekana kuhamisha subscribers wote, na endapo utahitaji kuendelea kutumiwa machapisho ya kijarida hiki, basi unaweza ku-subscribe upya.
Reply