Kocha wako anaomba radhi kutokana na kupotea hewani kitambo.Jitihada zitafanyika kuweka machapisho mapya mara kwa mara kadri muda utakavyoruhusu.
Makala hii inahusu Ustoa na ndani ya makala huu kuna masomo 17 ya Kistoa ambayo kutoka kwa wanafalsafa wakuu wa Ustoiki, mafunzo ambayo ukiyazingatia yatakuletea amani na utulivu.
Maisha ni kuhusu kudhibiti mwi…