Vitu 13 Unavyopaswa Kuachana Navyo
Kwanza vipo zaidi ya vitu 13 unavyopaswa kuachana navyo kama unataka mafanikio maishani.
Pili, neno “mafanikio” lina tafsiri pana. Na pengine kila mtu ana tafsiri yake ya mafanikio.
Enewei, twende kwenye hivi 13 ambavyo ni sehemu la lundo la vitu unavyopaswa kuachana navyo kama unataka kufanikiwa maishani.
1. Achana na vitu vinavyoathiri afya yako: Koch…