Kwanini ujiunge?

Lengo la AdelPhil Online Academy ni kukupatia nyenzo mbalimbali za kuyamudu au/na kuyaboresha maisha yako “mtaani” na mtandaoni.

Kila toleo jipya linatumwa kwenye baruapepe yako

Kila chapisho jipya linapowekwa, utatumiwa baruapepe itakayokufikia muda huohuo

Fursa ya kukutana na watu wenye kupendelea vitu kama vyako

Kujiunga na AdelPhil Online Academy kunaweza kukukutanisha na watu muhimu wenye kupendelea vitu kama vyako na wanaoweza kuwa na msaada katika safari yako kimaisha.

AdelPhil Online Academy ipo mtandaoni kwenye jukwaa la “Substack”, fahamu mengi kuhusu jukwaa hilo hapa.

Subscribe to AdelPhil Online Academy

Chuo cha Mtandaoni cha AdelPhil

People